“Ni Nelson Mandela! Dunia nzima simanzi. Katutoka shujaa na mzalendo wa Africa. Kitu unachotakiwa kujua ni kwamba, alifungwa jela miaka 27 lakini alipofunguliwa aliwasamehe wote waliomfunga na akashindwa kumsamehe mkewe aliyemsaliti. Unaweza kuona jinsi gani kumegewa“
No comments:
Post a Comment