Muigizaji nyota wa filamu nchini Riyama Ally amewataka wapenzi wa wakazi zake kuinunua filamu ya mpya king‘amuzi ili wajifunze njinsi ya kuishi na mwanaume mwenye wivu na uchoyo wa chakula
“Filamu ya King'amuzi imetokana ipo madukani inahusu mwanaume ana wivu wakupitiliza na uchoyo wachakula naomba wapenzi na mashabiki wangu wainunue naamini watajifunza kitu“
noma sana aiseee
ReplyDelete