Soma alichoandika facebook mwanamuziki Linex baada ya kupata akaunti yake ya instagram ilikuwa imechukuliwa na wezi wa mitandaoni
My instagram acount was hackeD ndugu wasomi wa macomputer sayansi tunawaomba muitumie elimu yenu kuliokoa taifa na so kutuzingua wana wa mtaa cos tunatokea kitaa
No comments:
Post a Comment