Saturday, December 21, 2013

Bongo movie kufanya uchaguzi wa viongozi tarehe 3 mwezi wa kwanza

Wacheza filamu za kitanzania wanaounda Bongo movie wamepanga kufanya uchaguzi wa viongozi tarehe 3 mwezi wa kwanza

Katika uchaguzi huo wagombea wanatakiwa kununua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali ndani ya bongo movie ambapo fomu moja ni shilingi laki moja

No comments:

Post a Comment