Sunday, December 15, 2013

Shilole kwenda UK wiki mbili kwa ajili ya kufanya show

Mcheza filamu za kitanzania na mwanamuziki Shilole anatarajia kuondoka mapema kesho kwenda UK kwa ajili ya kufanya show

Shilole amesema atakua uko kwa muda wa wiki mbili na badae atarudi Tanzania

No comments:

Post a Comment