Friday, December 06, 2013

RIYAMA:burian simba wa Afrika

Ikiwa ulimwengu umegubikwa na wingu zito la simanzi kufatia kifo cha raisi wa zamani wa Afrika Kusini Nelsoni Mandela mastaa mbali mbali wameoneshwa kuguswa na msiba huo wa kipenzi cha waafrika

Kupitia akaunti yake ya instagram mcheza filamu mwenye sifa ya kuitendea haki “scene“ ya kulia Riyama Ally ameshindwa kuzuia hisia zake baada ya kupokea taarifa za msiba wa Mandela na kupost picha akiwa analia na kuandika hivi

“Buriani Simba wa Afrika tutakukumbuka milele daima“

Mandela amefariki dunia usiku wa kuamkia lea akiwa na umri wa miaka 95

No comments:

Post a Comment