Diva anaekuja juu siku hadi siku kwenye tasnia ya filamu nchini Jackline Wolper ametoa milioni mbili kuchangia watoto wachekechea kwenye sherehe yao
Wolper ambae jana ameshelekea siku yake ya kuzaliwa akiwa na watoto yatima na badae kwenda kwenye shule ya chekechea amesema anaona furaha sana kuwa karibu na watoto wadogo
“najisikia furaha sana kuwa na watoto wadogo“
“nitachangia milioni mbili na nusu kutoa ni moyo sio utajiri“
No comments:
Post a Comment