Sunday, December 29, 2013

Huyu ndio Yuster Nyakachara mmiliki wa Eangle Intertainment

Mwanadada Yuster amepanga kufanya mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya filamu kupitia kampuni yake ya Eagle intertainment

Akiongea na blog hii amesema kwakuanza anatoa filamu ya Majuto si Hasara ambayo anaamini itakua gumzo kwani amejipanga vizuri

“Filamu ya Majuto si hasara yupo wolper na slim na wengine wengi najua watanzania wataipokea na kuona kazi nzuri“

No comments:

Post a Comment