Baada ya habari kuenea kwenye mitandao kuwa msanii wa filam nchini Wastara Sajuki ameacha kujistili hii ndio kauli yake
msanii lazima nibadilike siwezi kuvaa ijabu siku zote nilichagua hii kazi nikijua mapungufu yake kifupi nitajitahid kujistili kwakua iman ya dini yangu inanitaka nifanye hivyo
Pia na iman nikijistili napendeza na kuwa na muonekano mzuri
No comments:
Post a Comment