Friday, November 15, 2013

Ukurasa wa facebook wa muigizaji Nisha ume hakiwa

Ukurasa wa facebook anatumia kuwasiliana na mashabiki staa wa filam nchini salma Nisha kuna wezi wa mtandaoni wameupola

Nisha amewataka mashabiki wake wasimtafsiri vibaya kwani yeye hausiki na chochote kinachoendelea kwa sasa kwenye ukurasa wake

No comments:

Post a Comment