Mrembo anayefanya vizuri kwenye filamu hapa nchini Amanda Poshy amesema marehemu kanumba ndio muigizaji aliekua anampenda kuliko wate
Amesema wasanii wengi wanafanya vizuri kwa hivi sasa lakini filamu za marehemu Kanumba alikua hachoki kuziangalia
“kanumba ndio nilikuwa nampenda sana na nilikuwa sichoki kuangalia kazi zake kiukweli“amesema
Mhhhh
ReplyDelete