Ulizaliwa ili wazazi wako furaha iongezeke na ukapewa jina la FARHEEN maana yake kufurahi furaha furahieni nasi tukafurahi ulizidisha furaha pale ulipotoka na sura copy ya baba yako SAJUKI kitu ambacho ni kumbukumbu yangu milele nitakulinda na kukupenda milele kwa uwezo wa ALLAH,Happy birthday my toto
No comments:
Post a Comment