Monday, March 02, 2015

HEMEDI:Sio kila mwenye macho basi anaona na sio kila mwenye masikio basi anasikia

Kampuni kubwa ya kusambaza filamu ncchini steps entertainment imeingiza filamu ya Hisia potofu sokoni leo baada ya mashabiki kuisubiyo ambayo wamecheza mastaa kama vile Hemed,Jengua na Jack Pantzel inahusu mtu amabae amekua akimuhisi mke wake ana mauhusiano na kijana amabae anamatatizo ya hakili na mwisho wa siku amegundua sivyo alivyokua akidhania ni Hisia potofu tu

Kampuni ya steps inatoa filamu nane kwa mwezi na kwa mwezi huu hii ndio filamu yao ya kwanza kwa mawasiliano zaidi wasiliana nao kwa simu namba 0713 570581

No comments:

Post a Comment