STAA aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally amesema licha ya kuwa ana mchumba lakini hayupo tayari kuolewa kwa sasa.
Riyama alisema hahitaji kuolewa kwa sasa kutokana na kushuhudia ndoa
nyingi za mastaa zikivunjika, hivyo anahitaji muda mwingi wa kufikiria
juu ya mtu wa kuingia naye kwenye ndoa.
“Nitaolewa baada ya moyo wangu kuwa tayari kwani ndoa si jambo la kukurupuka, lazima uwe na mtu sahihi,” alisema Riyama.
No comments:
Post a Comment