Sunday, July 20, 2014

HUU NDIO MTONYO ATAKAO PEWA WASTARA JUMA




Mcheza filamu za kitanzania Wastara Juma yuko mbioni kupewa dili la kuwa wakala wa magari kutoka Londan na ku yauza nchini Tanzania

Wastara amesema alipokwenda kurekodi filamu London kuna kampuni ya magari ilivutiwa nae na kumuomba aingie nao kwenye dili l kuuza magari

 Akiongea na blog hii Wastara amesema kuwa

'nilipokuwa London kuna kampuni ya magari amabayo wameniomba niwatangazie biashara ya magari hapa Tanzania kupitia blog yangu na page yangu ya facebook yani niwe kama wakala mtu akivutiwa na gari ananiambia mimi na wasiliana nao analetewa '

Ata hivyo Wastara akutaka kuongea kwa kirefu kuhusiana na mtonyo huo ambao alisema siku zinavyozidi kwenda ataweka wazi kila kitu

kwenye blog kuna picha ya gari kushoto na mawasiliano kwa anaetaka gari awasilianae na Wastara

No comments:

Post a Comment