Saturday, April 05, 2014

HUYU NI MTU MAARUFU SANA!! SIELEWI KWA NINI KAAMUA KUTUPIA PICHA KAMA HII, NI AIBU


Ustaa kweli kazi baada ya kuona Media
zimepunguza kumuongea mrembo huyu
maarufu Hudda Monroe kutoka kenya jana
Usiku kapost picha ya tako lake akiwatakiwa
watu Good nite....MMhhh Unashangaza
jamani ...MAADILI YAKO WAPI??

No comments:

Post a Comment