Mcheza filamu za kitanzania Yuster Nyakachara amesema hampendi kimapenzi wala kumtamani mwanamuziki wa bongo fleva Diamond Platnam na kwamba anamchukulia kawaida tu
Yuster amesema hayo mwushoni mwa wiki alipoulizwa endapo anampango wa kujiweka kwa msanii huyo kwa kile kinachodaiwa staa huyo anatabia ya kutoka kimapenzi na warembo wa bongo movie
“Simpendi kimapenzi wala simtamani Diamond namchukulia kawaida“
Yuster amesema kuwa kioo cha jamii inapaswa kulinda heshima yako ili jamii ikuthamini kwa kazi na kile unachokifanya mbele yao
No comments:
Post a Comment