“Camera man“ mwenye jina kubwa bongo movie Kabuti Onyango ameposti statasi kwenye akaunti yake ya “facebook“ kuwataka mashabiki waseme mcheza filamu gani amefanya vizuri kwa mwaka jana ndipo kura karibu zote zikaenda kwa Wastara Sajuki
Mashabiki wengi wamemwagia sifa Wastara kuwa mbali na kufanya vizuri pia anajiheshimu kwa mavazi anayovaa pia ni mwananamke jasiri na shupavu
Baada ya hapo blog hii ilimtafuta wastara ambapo alisema
“mimi sina la kusema ila mashabiki wanajua mimi ni nani“
Mbali na Wastara bongo movie wengine waliotajwa kuwashika watu ni Aunt Ezekiel,Jackline Wolper pamoja na Riyama uku Yuster Nyakachara akitabiriwa kufanya viuri kwa mwaka huu
Wastara kwa hivi sasa anasumbua soko la filamu kwa movie yake ya Shaymaa uku akiwa na msululu wa filamu nyingi za kushirikishwa.
Zaidi ingia facebook tafuta Kabuti Onyango ujionee mwenyewe
No comments:
Post a Comment