“Nimefurahi sana kufanya kazi na camera man mkubwa kabuti onyango kwa kuwa ni mtu wa kujituma sana na yupo makini na kazi yake atafika mbali kwa uwezo wake wa kupiga picha na ukitaka kufahamika kwa haraka huyu huyu jamaa ana mbinu nyingi sana ameitendea haki sana filamu yangu mpya Tom boy
No comments:
Post a Comment