Mcheza filamu za kitanzania Yuster Nyakachara amewatembelea watu wasio jiweza maeneo ya Madale Kinondoni na kuwapa zawadi mbali mbali
Yuster amesema lengo la ziara hiyo ni kuwapa furaha na kuwafariji wasisione wanatengwa na amekula nao chakula cha mchana
Mbali na kula nao chakula cha mchana pia amewapa zawadi ndogo ndogo zikiwemo net ajili ya kuwakinga na maleria
No comments:
Post a Comment