Wednesday, December 04, 2013

Soma post aliyotuma muigizaji Riyama Ally kwenye instagram kuhusiana na muigizaji mwenzake Jocobo Steven

Muigizaji wa filamu za kibongo Riyama Ally kupitia akaunti yake ya instagram amemuandikia ujumbe wa kheri muigizaji mwenzie Jacob Steven

“Mungu akubariki akujaalie umri mrefu na afya tele amin happy birthday papa penda sana weapo“

blog hii inamtakia maisha marefu a yenye baraka muigizaji Jacobo Steven

No comments:

Post a Comment