Friday, December 06, 2013

Soma alichoandika Dj choka kuhusu marehemu Nelson Mandela kwenye ukurasa wake wa facebook


Madiba peleka salam hizi kwa mzee we2 (swaiba wako Julias kambarage nyerere) mwambie hv Tanzania hakuna tena kuna Tangagiza, viongozi bora hakuna tena xaxa hv kuna wezi bora ,bunge hakuna tena xaxa hv kuna mabondia , walopokaji, wezi na wasanii , yale mabomu aliyompiga nayo idd amin sasa hv yapo super market yanauzwa tu kupigia wanyonge, afu mwambie xaxa hv tz na china ni marafiki sana tunabalishana simu za kichina na meno ya tembo , pia sasa hv huku hawafi wazee wanakufa vijana kwa kula unga, mabangi na ngono zembe ule mchaka mchaka na zile nyimbo zake ziliisha mfuata xaxa hv kuna azonto, kiduku na kanga moko. Mpaka wazee wenzio baadhi ulio waacha eti nao wanakula ujana.!! Kwa sa hz mi yangu hayo labda na ww ongeza lako tumpe Msauzi ampekee Mwalimu. R.I.P NELSON MANDELA KING OF AFRICA... Fikisha izo salam kwa mzee we2 ni muhim..!!#966

DJ CHOKA

No comments:

Post a Comment