Star wa filamu za kibongo anatarajia kuonekana kwenye filamu mpya inayoitwa fimbo ya mungu akiwa na waigizaji mashuhuri kama vile Mzee Majuto,Jengua pamoja na bi hindu
Kwenye filamu hiyo mpya na yatofauti Riyama amecheza nafasi ya muhusika mkuu
Picha chini ni baadhi ya picha wakiwa location
No comments:
Post a Comment