Tuesday, December 24, 2013

Frola Mvungi:asante mume wangu kwa kunisaidia kulea

Mcheza filamu za kitanzania Frola Mvungi amemshukuru mume wake kwa kumsaidia kulea mtoto wao,

kupitia akaunti yake ya instagram ameandika maneno haya

“asante mume wangu kwa kunisaidia kulea hebu ona leo umembeba mtoto tuko wote clinic jamani wewe ni mume bora nakupenda sana my darling mwaa“

No comments:

Post a Comment