Thursday, December 19, 2013

BREAKING NEWS:Omar Mussa Makane yupo nje kwa dhamana

Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja

No comments:

Post a Comment