Thursday, November 14, 2013

Zamo chambo kuja na “six times two“

Mtaarishaji na mcheza filamu za kitanzania Zamo Chambo amsema wapenzi wakazi zake wakae mkao wa kula kuisubili six times two kwani ni zaidi ya filamu

Kwenye six times two amecheza na wasanii wengi akiwemo Jackline Wolper

Picha chini ni wakati wana shoot filam hiyo

No comments:

Post a Comment