Blog yangu ina husu maswala yaa filamu kwa ujumla,mimi sijataka kua mbinafsi ndio maana siweki habari zangu peke yangu.
Humu utajua habari za kuaminika za wasanii wa kitanzania mbali na ili pia kukiwa na hot news kwenye jamii utaipata pia habari za burudani zinanafasi yake
Matangazo ya maduka makubwa ya nguo na saloon
Maduka ya vcd na dvd pamoja na kampuni za kutengeneza filam yote yanatangazwa
Pia na matangazo mengine mengi yanatangazwa
Pongezi mtu kaoa,kaitimu chuo au sherehe ya kuzaliwa vyote natangaza mimi nipo kwa ajili ya watanzania
Kwa matangazo wasiliana kwa namba 0765 82 65 55 anaitwa Nassoro Ally ndio anausika na matangazo.
Asanteni
No comments:
Post a Comment