Monday, November 11, 2013

Diamond yupo Nigeria na anatarajia kufanya video mbili akiwa na Iyanya na Davido

Diamond Platinumz tayari ameshafika nchini Nigeria kwa ajili ya kazi ya kimuziki pamoja na wasanii nchini humo ambapo baada ya kufanya remix ya My Number One na Davido, kazi inaendelea na sasa amewafata hukohuko kwao Nigeria.
 Diamond anaelezea kwamba baada ya kufanya ngoma na Davido, pia ngoma nyingine amefanya  na Iyanya japokuwa watu wengi hawafahamu kuhusu hiyo collabo. Lengo lake kubwa lilikuwa si kufanya collabo tu bali anasema alitaka kujenga ukaribu na wasanii wa Nigeria ndiyo maana ameamua kwenda kufanya video hukohuko Nigeria

No comments:

Post a Comment