Mcheza filamu mwenye jina kubwa nchini Zambia Cassie Kabwita amesema filamu yake ya 'KWACHA"inamafunzo makubwa kwenye familia za kiafrika.
Amesema filamu hiyo inafundisha jinsi ya kukabiliana na ukatili wa kijinsia,unyanyasaji wa kijinsia,wivu pamoja na kufundisha upendo wa kweli
Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote amesema kwenye filamu hiyo amewashirikisha mastaa wenye majina makubwa nchini Tanzania Vicent Kigosi (ray) na Kajala Masanja uku yeye na waigizaji wengine kutoka nchini Zambia akiwemo Owas Mwape wakifanya makubwa kwenye filamu hiyo
No comments:
Post a Comment