Friday, May 20, 2016

FAULO YA WASTARA YAINGIA SOKONI

Filamu mpya ya Wastara Juma faulo imeingia sokoni kwa kishindo,ikisambazwa na steps entertainment,filamu hiyo inayohusu binti aliepewa mimba na mwanafunzi mwezie na kusababisha matatizo makubwa,wamo pia Diana kimaro,na Frenk Mwikongi

No comments:

Post a Comment