Mcheza filamu mwenye jina kubwa bongo Wastara Juma amesema wapenzi wa filamu zake wakae mkao wa kula kwani filamu yake mpya ya Last Decision inkwenda kuandika historia nyingine kwenye tasnia ya filamu nchini
Wastara amesema filamu hiyo amabayo amecheza kwa kiwango cha juu sana inatoka tarehe 14 mwezi huu akiwa na msanii Hemed Sukeiman itakuwa gumzo nchini kwani ni moja ya filamu bora amabzo anaamini itawafunza wengi waliopo kwenye ndoa zao
Wastara amesema mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani filamu hiyo ikitoka ataandika historia nyinginge
"filamu yangu inatoka tarehe 14 mwezi huu na siku hiyo nitaandika historia nyingine kuna kitu nitafanya kwa siku tatu lakini kwa sasa siko tayari kukiongelea maana watu hawakawii kuiba wazo la mtu ngoja nikae nalo moyoni kwanza"
No comments:
Post a Comment