Friday, July 11, 2014

WASTARA:MIMI NIMEJALIWA STARA,KUJISTIRI NI SEHEMU YA MAISHA YANGU SIO MPAKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

Mcheza filamu ambae inaaminika anapendwa sana na mashabiki wake kulizo msanii yoyote wa kike bongo movie kutokana na tabia yake anayoionesha mbele ya jamii inayo mzunguka Wastara Juma Issa amesema yeye amezaliwa na stara na kujistiri sehemu ya maisha yake sio mpaka mwezi mtukufu wa ramadhani


Amesema kwa wasiomjua watadhani anajistiri mwezi wa ramadhani tu wakati ni kawaida yake

"mimi kama mtoto wa kiislamu nafata mafundisho ya dini yetu mwanake kujistiri na ukiona nipo kichwa wazi basi hapo nipo location lakini kwenye maisha ya kawaida unikuti kichwa wazi labda univizie nyumbani"





No comments:

Post a Comment