Friday, July 11, 2014

BOND BIN SINANN:LAST DECISION NI MIONGONI MWA FILAMU BORA AMBAZO NIMEWAI KUZIONGOZA

Muongozaji wa filamu za kitanzania mwenye tuzo ya uongozaji bora Bond Bin Sinan ambae pia ni mtangazaji wa kipindi cha runinga cha "Action and cut"amesema filmamu mpya ya Wastara inayotarajia kutoka hivi karibuni ni miongoni mwa kazi bora ambazo amewai kuzifanya kwenye maisha yake
 Bond amesema kazi hiyo amefanya kwa umakini mkubwa ukizingatia ni filamu ya kwanza ya Wastara kuiongoza na ndani yake kuna mastaa wengine na wasanii mbali mbli wa jiji la Mwanza wenye uwezo mkubwa

'Last decision ni filamu yenye story nzuri wausika wameitendea haki na wameniridhisha mimi kama muongozaji hivyo ikitoka naomba mashabiki wote wa Wastara wainunue ili wathibitishe ninachokiongea",
 
 



 

No comments:

Post a Comment