Thursday, July 31, 2014

RIYAMA KUMUANIKA KAJALA


Mcheza filamu za kitanzania ambae hivi sasa amekua kilaka kwa kuzitendea haki scene zote anazopangwa amesema hivi karibuni anamuanika Kajala kwa watanzania ili wamfahamu nje ndani.

Riyama amesema kwa sasa hayupo tayari kuongelea swala hilo kwa udani ila muda ukifa watanzania watamuelewa tu."kwa hivi sasa sitaongea chochote ila siku si nyingi nitamuanika kajala watanzani mumjue kajala vizuri"

No comments:

Post a Comment