Jana usiku mwigizaji na mwanamuziki Baby Madaha alizindua filamu yake mpya ya The Gal Bladder kwenye ukumbi wa akemi jijin Dar.
Uzinduzi kuu uliosindikizwa na performance ya baby Madaha pamoja na dancers wake ulihuduriwa na wadau mbalimbali wa filamu nchini kama wanayoonekana pichani.
No comments:
Post a Comment