Tuesday, November 12, 2013

Wastara kutangaza na kusambaza bidhaa za Organa gold company ya Jamaica

Compay ya Organa gold ya nchini Jamaica imeingia mkataba na Wastara Sajuki wa kusambaza na kutangaza bidhaa zake zinazotengenezwa kwa kahawa.

Bidha hizo zinauwezo wa kufanya kazi mbali mbali mwilini

Tazama picha za Wastara baada ya kusaini mkataba

No comments:

Post a Comment