Picha msanii Diamond akionesha pesa dola zake zilizofungwa kwa cheni ya dhahabu
Msanii wa bongo fleva Diamond Platnam amepost picha kwenye mtandao wa kijamii instagram ukionesha dola zake alizofunga kwa cheni ya dhahabu na kuandika maneno haya
Rubber band for what...?Money is tied by Money USD#Gold
No comments:
Post a Comment