Habari zilizogazaa mtaani zinasema kuwa penzi la mwanadada
Kajala Masanja na Petit Man Wakuache ambaye ni anafanya kazi na Wema
Sepetu nadni ya kampuni ya Endless Fame Production limeota mbawa na kwa
sasa Petit Man anatoka na mdogo wake Vanessa Mdee.
Kwa mujibu wa The Gossip corp wa clouds FM wawil hao hawapo pamoja tena
na mwanadada kajala amejaribusana kumsihi Petit man wakuache warudiane
bila mafanikio
Kajala wala Petit man bado hawajaweza kupatikana kuthibitisha suala hili.
No comments:
Post a Comment