Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Mwana Fa ameandika maneno haya kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook
“Ukiona una muda wa kuja kwy mitandao ya kijamii kutukana watu,haswa WASIOKUJUA,na hawasumbuki kukujibu na unaendeleza mitusi,ujue huna kazi za kutosha,hupigani sawasawa na maisha yako..get busy,acha utoto...siku njema
No comments:
Post a Comment