Baada ya camera man Kabuti Onyango kuonesha uwezo mkubwa kwenye kupiga picha ndani ya filamu za Pusi na Paku,Tikisa na Majanga ambazo zinafanya vizuri sokoni mpaka sasa wasanii mbali mbali wameanza kujitokeza wakitaka afanye nao kazi.
Akiongeaa na blog hii kabuti amesema anamshukuru mungu na watanzania wote kwa kusapoti tasnia ya filamu ususani kazi alizo fanya yeye.
“namshukuru mungu na watanzania kwa kunikubali kazi yangu na wacheza filamu wote kwa kunisapoti mimi pia nashukuru familia yangu na naaidi kuendelea kufanya kazi zenye ubora wa kinataifa“
No comments:
Post a Comment