Hivi karibuni kulikuwa na taarifa kuwa mwanadada Wema Sepetu
ameamua kumtimua aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni
ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya
Wema Sepetu kama gest ya kumaliza haja zake.
Wema aliamua kuchukua maamuzi hayo magumu ili kunusuru kashfa kubwa ambayo ingeweza kuikumba kampuni yake.
Kwa mujibu wa tovuti ya bongoclantz ya kupata taarifa hizo Wema
aliamua kumtimua Chid kwenye kampuni yake ili kulinda heshima ya kampuni
hiyo ambapo Chid na vijana wengine walikuwa wakitumia gari hiyo
kung'olea watoto wakali na kuwachapa ndani ya gari hiyo.
"Hii ilitokana na upendo wa mashabiki kwa Wema na wasichana wengi
walikuwa wakiiona ile gari wanaingia wenyewe kwenye gari wakidhani ndani
yuko Wema, hivyo ilikuwa ni nafasi nzuri kwa Chid na wenzake kuwamaliza
wasichana hao
No comments:
Post a Comment