Wednesday, November 05, 2014

FILAMU YA UAMINIFU DHAIFU YAMTESA WASTARA JUMA

  Ikiwa ni siku chache tangu filamu mpya ya Uaminifu Dhaifu kuingia sokoni,imeonekana kumtesa sana mcheza filamu Wastara Juma kwa kua imekua ikimvurugia ratiba zake sana kwani amekua kiirudia kuiangalia kila wakati jambo ambalo linamtesa sana 



Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote kwakua Tanzania ni nchi huru amesema filamu hiyo imekua ikimtesa sana kwani amekua akipoteza muda mwingi kuiangalia na hii yote ni kutokana na ubora wa story iliyomo kwenye filamu hiyo 'yani kwenye filamu hii kwanza nimecheza scene ambazo sijawai kuzicheza kwenye maisha yangu ya sanaa na nina shukuru mungu nimeitendea haki sana hivyo inanitesa kila mara kuiangalia yani kuna muda navunja ratiba zangu na kaa naangalia tu nilivyocheza' 


'yani kwenye filamu hii kwanza nimecheza scene ambazo sijawai kuzicheza kwenye maisha yangu ya sanaa na nina shukuru mungu nimeitendea haki sana hivyo inanitesa kila mara kuiangalia yani kuna muda navunja ratiba zangu na kaa naangalia tu nilivyocheza

 Filamu hiyo amabayo inasambazwa na kampuni yenye jina kubwa Tanzania steps entertainment imewashirikisha wasanii wakubwa akiwemo Bambo,Matumaini,Nsungu,Wastara na bond bi sinnan 

No comments:

Post a Comment