WASTARA SAJUKI
Staa Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametinga ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiambatana na msanii maarufu wa filamu Bongo, Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' tayari kusikiliza kesi yake inayomkabili juu ya kifo cha marehemu Steven Kanumba!
No comments:
Post a Comment