Mdogo wa muigizaji wa filamu za kitanzania Amanda Poshy amefariki dunia asubui ya leo kwenye hospital ya taifa ya Muimbili jijini Dar es salaam
Akizungumza na mtandao huu Amanda amesema aliyefariki ni Shahista mtoto wa mama yake mdogo ambae alikua na mwaka mmoja na miezi miwili
Ata hivyo Amanda akutaja mtoto huyo alikua anauma nini
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amin
No comments:
Post a Comment