Muigizaji wa filamu nchini Wastara Sajuki amesema anavutiwa na uigizaji wa muingizaji mwenzie Riyama Ally kwakua anajitambua na anajua nini anakifanya kwenye sanaa
Wastara amesema hayo wakati akiongea na blog hii na kuongeza kuwa kwa Tanzania wapo wasanii wengi wanafanya vizuri ila yeye anampenda Riyama Ally
“Wengi wanaweza na wanafanya vizuri lakini Riyama ndio nampenda zaidi“
kwa upande wake Riyama amesema Wastara ni msanii mzuri sana na anamuheahimu kama anavyowaeheshimu wasanii wangine waliotangulia
“Wastara yupo katika tano bora ya waingizaji ninaowapenda maana wastara anajitambua na kuitambua kazi yake anajua mashabiki wanataka nini na anajua kuitendea haki stori
No comments:
Post a Comment