Kivuko kikubwa cha Mv. Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake kushindwa kufanya kazi.
Abiria tayari wamevaa maboya lakini hali ya wasiwasi imetanda
East Africa Radio
No comments:
Post a Comment