Monday, May 23, 2016

NEEMA NDEPANYA'NAKUJA NA KIVURUGE MWISHONI MWA MWEZI HUU"

Muongozaji wa filamu na mtuzi mahiri kwenye tasnia ya filamu bongo Neema Ndepanya amesema mwaka huu ameamua kuanza na filamu ya Kivuruge ili kuonesha utofauti kwenye tasnia ya filamu mwaka huu

Akifunguka kiafrika bila hofu yoyote kwa kua Tanzania ni nchi huru Ndepanya amesema mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani mwishoni mwa mwezhi huu kivuruge ikitoka watajifunza kitu kikubwa sana

'naomba mashabiki wangu mkae mkao wa kula kwani mwaka huu nimeanza na kivuruge ni bonge la filamu lakini pia ntawaletea filamu ya Kobe la mchana maalumu kwa mwezi wa ramadhani"

No comments:

Post a Comment