MSANII wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amekiri kujifunza mambo mengi ya maisha baada ya kuingia kwenye ndoa.
Davina amesema kwamba anaichukulia ndoa yake kama chuo cha mafunzo
kwa jinsi alivyobadilika na kuwa tofauti na Davina aliyekuwa nje ya
ndoa.
“Nimekuwa tofauti kabisa na Davina wa kabla ya ndoa, sasa hivi kila
kitu nakifanya kwa ustaarabu kwa kuwa najiona nimekuwa mwenye majukumu
mengi,” alisema.
Akifafanua…
No comments:
Post a Comment