Monday, November 11, 2013

BREAKING NEWS

Msanii wa taarab nchini anayejulikana kwa jina la Nyawana Fundikira aliyetamba na wimbo wa 'Nipo kamili nimejipanga', amefariki dunia mchana huu kwa ugonjwa wa malaria.
Nyawana amefariki akiwa kwake maeneo ya Mwananyamala B na mwili wake sasa umepelekwa kuhifadhiwa hospitali ya Mwananyamala

No comments:

Post a Comment