Mcheza filamu za kitanzania Wastara Juma usiku wa kuamkia leo amepata ajali akiwa anarudi nyumbani kwake akitokea kwenye mizunguko yake
Wastara aliamka sububuhi akiwa mzima na mwenye furaha na badae alikwenda kwenye msiba wa mdau mkubwa wa filamu nchini marehemu Sekwao na badae alianza safari ya kurudi nyumbani kwake Tabata
 |
Wastara akiwa msibani kwa sekwao kabla ya ajali |
Wastara anasema ajali imetokea bila kujijua na kwamba alijigonga wakati anafunga break na kuumia sehemu ya kichwani
kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii facebook na instagram Wastara amesema
"DUA ZENU MUHIMU SANA KWA MBAO MNAONIPENDA NA MSIONIPENDA......hali hii imenichosha sana ya matukio ya ajali kila mara natamani kuwa na amani na maisha yangu couz mungu ana sababu kuniacha niendelee kupumua mpka leo ila kwa wanaochukia
kuona napumua wanatamani nizikwe hta mzima ila mtambue nina watot 3 wananitegemea kwa kila kitu smtime mnasema nasikitika sana ni kweli sababu mi sio nabii nikihesabu hii ni ajali ya ya 9 sasa tena ni mbaya sana za kufa kabsa ila labda nimo kwa wale wanaopta ajali kipindi hiki japo kwangu ni too much,, ni jana na leo napumua alhamdulilah duwa zenu niombeni jamani huyu jinamizi akae mbali nami daah too much😢😢|
Pole sana, Mungu ni Mwema atakuponya na kukulinda siku zote.
ReplyDeletepole sana
ReplyDelete